JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Ukurasa wa mbele ungesomeka "Hatimae yule binti aliyekuwa akifahamika kwa jina la felister A.K.A muuza na mchoma nyama katika viunga vya dodoma abadili jina na kujiita Depal kuepuka kasumba mbalimbali baada ya unaosemekana kuwa mguu wake kuonekana ukitrend katika kijiji cha JF baada ya kuvutwa na kukuzwa kwa msaada wa VAR na mmoja wa mabaharia wa JF"

Ni utani tu bebe Depal nakukubali sana 🙂 🙂 🙂
 
😂😂😂 kwa kweli tena gazeti lingeuzika kwa msaada wa wakala wa mikoani @Darby
Chama kingepata hela nyingi
 
Halafu kama uko kwa makonda leo nitawahi funga goli langu, ni PM leo tukapate drinks hapo the luxe lounge na kubadilishana mawazo offer hii leo ni kwako mrembo Depal tu.
 
Back
Top Bottom