Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Sasa wewe ulivyokuwa unanidanganya nipo peke yangu huku unafunguliwa uzi wa mahaba ni sawaUlivyokuwa unanitukana ex wako ulifikiri nilipenda, nawe teseka kidogo.
Hauitaji kuumiza zaidi ya hapo, kwa kushirikiana na ndugu mwenyekiti tutafanya utafiti kwa kina ili ukweli ufahamikeNimeumia mno bwana mjumbe kwa uzushi unaondelea.!!
Vipi hauwezi kuwa mke wa pili ?Baba swalehe ajaribu kumtongoza mzigua90 hadharani je atafanikiwa?
Stay tune for feedback
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi siwez mashindano atiDawa ya moto moto...ungewakomesha kwa kufungua kauzi nawe..tehteh
Siwezi mfanyia ukatili mkubwa namna hii,Hahaha...hapa mwenzetu ashapigwa cha mbavu.
Hatunywi sumu, hatujinyongi..!!Hauitaji kuumiza zaidi ya hapo, kwa kushirikiana na ndugu mwenyekiti tutafanya utafiti kwa kina ili ukweli ufahamike
Muda ukifika tutajisajili..Mje msajili couple sasa....hii haipo kwenye kumbu kumbu zangu.
ile ID niliiona nilijua ni wasiojulikana aiseeee
Ongeza sautiKwema aseeh...naona anayekuficha anafanikiwa kabisa.
πππ kwa kweli tena gazeti lingeuzika kwa msaada wa wakala wa mikoani @DarbyUkurasa wa mbele ungesomeka "Hatimae yule binti aliyekuwa akifahamika kwa jina la felister A.K.A muuza na mchoma nyama katika viunga vya dodoma abadili jina na kujiita Depal kuepuka kasumba mbalimbali baada ya unaosemekana kuwa mguu wake kuonekana ukitrend katika kijiji cha JF baada ya kuvutwa na kukuzwa kwa msaada wa VAR na mmoja wa mabaharia wa JF"
Ni utani tu bebe Depal nakukubali sana π π π
HallelujahAshukuriwe alienificha maana ameniweza..
Sure mrembo, maana bila nyie kuwa na skendo mbili tatu kijiji kingekosa mapato kwa 100%.πππ kwa kweli tena gazeti lingeuzika kwa msaada wa wakala wa mikoani @Darby
Chama kingepata hela nyingi