πππ kabisaaSure mrembo, maana bila nyie kuwa na skendo mbili tatu kijiji kingekosa mapato kwa 100%.
Watazipata salamu zaowasalimu hapo arusha.
Amani sana mrembo.Watazipata salamu zao
[emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka mkuu nikasema sasa zero IQ nitaenda kukamatikaHa ha ha, eti wasiojulikana.
Au ulijua ni yule mjeshi ambaye umechakata papuchi ya mwanae?
Round about ya kijenge unaipata, pale impala..sasa cocoriko unanyooka kama unaenda Moshono sio mbali sana kutokea paleCocoriko iko sehemu gani Arusha? Nipe location
Hahahaaa umenifurahisha aseeUkurasa wa mbele ungesomeka "Hatimae yule binti aliyekuwa akifahamika kwa jina la felister A.K.A muuza na mchoma nyama katika viunga vya dodoma abadili jina na kujiita Depal kuepuka kasumba mbalimbali baada ya unaosemekana kuwa mguu wake kuonekana ukitrend katika kijiji cha JF baada ya kuvutwa na kukuzwa kwa msaada wa VAR na mmoja wa mabaharia wa JF"
Ni utani tu bebe Depal nakukubali sana π π π
Nimependa hii tengeneza nyingine
Mbona hujaja na Dada MarianahNaam mrembo wa kani. Nimeitikia wito.
HodariSasa sio sirii Mzigua90 ni dume lililojivika uanamke.
Hatimaye MOTHER confesser asema kilichomfanya abadili ID
Trend ya ID mpya yathibitika ni kutokana na member wengi kuogopa kuwekwa picha zao hadharani
manengelo apotea katika mazingira ya kutatanisha. Polisii wanaendelea na uchunguzi kumjua member aliesababisha Manengelo kupotea.
Jifunze mbinu za kukwepa ban. Uk 7
πππ Saint anne Marianah ya kweli haya ndugu"Katika ile vuta ni kuvute na vikao vya siri vilivyokuwa vinaendeshwa na pande mbili,hatimae Marianah na Saint anne wamekubali kuwa wake halali wa bwana Zurri"
Habari zaidi ipo ukurasa wa 7 wa gazeti hili.