Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Hiyo familia mpya itakuwa ya watu wachoyo sana. Kwa ninamvyomfahamu Marianah hasingekubali aina hiyo ya harusi labda kama amelazimishwa.
Hatimae Sakayo na Transcend wamwagana, ni baada ya Transcend kugundua Sakayo anamichepuko kadhaaMbaya zaidi hadi avatar wamebadili
Mbaya zaidi hadi avatar wamebadili
Bwana Zurri amvaa @Da 'Vinci kumgombania Saint anne .Inasemekana Davinci anataka ayaseme hadharani yale alotaka kumwambia saint anane. Habari zaidi tusubir toleo lijalo
Kwa nguvu gani nikutishe [emoji23][emoji23][emoji23]!!Kwahiyo unanitisha ama ?
Majina mapya
id za zamani
Baadhi yao tumeshawabaini
Sasa sikia,hivi ile kirafiki tu wewe ukibaki na imani yako na mimi nikatupa karata yangu mbona poa tu ?Kwa nguvu gani nikutishe [emoji23][emoji23][emoji23]!!
Ila nina msimano na huwa nasimama hapo
Hatimaye Zurri aibuka mshindi kwa saint anne,akubali kuokoka[emoji3]Bwana Zurri amvaa @Da 'Vinci kumgombania Saint anne .
Katika ukurasa wa nne wa gazeti hili,ripota anasema ya kuwa kw ugomvi huu bila shaka Zurri ataibuka mshindi.
Ahaa..kudadadeki..Mwanamke mmoja apatikana ubungo akiwa na 7800 akiitaji kurudi mwanza.
Jinsi 7800 ilivyo vunja mahusiano
Sawa tu haina shida.Hatimaye Zurri aibuka mshindi kwa saint anne,akubali kuokoka[emoji3]
Mwandishi wa gazeti letu anasema..Bwana Zurri amvaa @Da 'Vinci kumgombania Saint anne .
Katika ukurasa wa nne wa gazeti hili,ripota anasema ya kuwa kw ugomvi huu bila shaka Zurri ataibuka mshindi.
Sina urafiki na mtu usio na malengoSasa sikia,hivi ile kirafiki tu wewe ukibaki na imani yako na mimi nikatupa karata yangu mbona poa tu ?
Unajua mwanzo huwa mgumu ila mbeleni tu utazoea.
[emoji23][emoji23][emoji23]Inasemekana Davinci anataka ayaseme hadharani yale alotaka kumwambia saint anane. Habari zaidi tusubir toleo lijalo
Mimi majibu yake mawili ya mwanzo yamenichosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hahahaha,haitatokea yaani ukiwa mkana Mungu ujue huna akili timamu,ukitaka kuamini hilo angalia mfano alioutoa Kiranga kuhusu dini na ukoplo yaani vitu viwili tofauti,na huwa namwambia ajifunze kutoa mifano lakini hafanyii kazi ushauri wangu.
Sasa vipi nisiwe na malengo wakati nimetangaza kukuweka ndani ? Embu lipe muda hili,usiwe na haraka kuniwekea viunzi.Sina urafiki na mtu usio na malengo
"Mrembo atoweka jukwaani baada ya picha yake ya beach kuvuja"[emoji126][emoji126]