JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Kwa nguvu gani nikutishe [emoji23][emoji23][emoji23]!!
Ila nina msimano na huwa nasimama hapo
Sasa sikia,hivi ile kirafiki tu wewe ukibaki na imani yako na mimi nikatupa karata yangu mbona poa tu ?

Unajua mwanzo huwa mgumu ila mbeleni tu utazoea.
 
Bwana Zurri amvaa @Da 'Vinci kumgombania Saint anne .

Katika ukurasa wa nne wa gazeti hili,ripota anasema ya kuwa kw ugomvi huu bila shaka Zurri ataibuka mshindi.
Mwandishi wa gazeti letu anasema..
Bwana Da'Vinci sio mtu wa kugombania vitu yuko tayari kuachia saint anne ampite mbali kama kuna mabaharia wanamuwinda.

Mpaka sasa gazeti letu lazidi kufanya juhudi za kumnasa saint anne
 
Hahahaha,haitatokea yaani ukiwa mkana Mungu ujue huna akili timamu,ukitaka kuamini hilo angalia mfano alioutoa Kiranga kuhusu dini na ukoplo yaani vitu viwili tofauti,na huwa namwambia ajifunze kutoa mifano lakini hafanyii kazi ushauri wangu.
Mimi majibu yake mawili ya mwanzo yamenichosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Kipindi nafika jf nilijua anatania
 
Sina urafiki na mtu usio na malengo
Sasa vipi nisiwe na malengo wakati nimetangaza kukuweka ndani ? Embu lipe muda hili,usiwe na haraka kuniwekea viunzi.

Hivi hujui hata kamba hukata jiwe ? Nakukumbusha tu hili,na haya si maneno yangu.
 
Back
Top Bottom