JF ingekuwa gazeti la udaku.

Mwandishi wa gazeti letu anasema..
Bwana Da'Vinci sio mtu wa kugombania vitu yuko tayari kuachia saint anne ampite mbali kama kuna mabaharia wanamuwinda.

Mpaka sasa gazeti letu lazidi kufanya juhudi za kumnasa saint anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa vipi nisiwe na malengo wakati nimetangaza kukuweka ndani ? Embu lipe muda hili,usiwe na haraka kuniwekea viunzi.

Hivi hujui hata kamba hukata jiwe ? Nakukumbusha tu hili,na haya si maneno yangu.
Kwa ndoa ipi!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya kufungia kwa mtume wenu au??
 
Nje ya mada. Nimependa ulivyobana nywele zako na hizo glass zako miss Saint anne. Uzoefu unaonesha wadada wenye looks kama yako huwa mnavutia sana machoni mwa wapenzi watazamaji.
Hicho kipilipili tu..sura ya baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…