Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahUkurasa wa mbele ungesomeka "Hatimae yule binti aliyekuwa akifahamika kwa jina la felister A.K.A muuza na mchoma nyama katika viunga vya dodoma abadili jina na kujiita Depal kuepuka kasumba mbalimbali baada ya unaosemekana kuwa mguu wake kuonekana ukitrend katika kijiji cha JF baada ya kuvutwa na kukuzwa kwa msaada wa VAR na mmoja wa mabaharia wa JF"
Ni utani tu bebe Depal nakukubali sana 🙂 🙂 🙂
Haswaa.Huanzisha nyingine ya kwenda kwa Muhammad au!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haswaa.
Kwahiyo sisi mababa tuna sura mbaya sio au nimeelewa vibaya ?
Brother kiba msanii au Nani!?Mabishano makali yamezuka kwa warembo kuhusu kiba na muhogo wa jang’ombe ipi ni tamu sana [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Ndoto za mchana nyingi huwa za kweli.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuota ndoto zako za mchana.
Hapana aisee,sio kweli kabisa.Ndio
Brother kiba msanii au Nani!?
Ni wewe umeandika haya?[emoji85]
Sasa inakuwaje ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea kuota ndoto zako za mchana.
Aisee[emoji134][emoji1751]Hahahahaha ni yule yule msanii. Kuna mtu kaiba pw yangu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sijajua badoSasa inakuwaje ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yesu wangu.Ndoto za mchana nyingi huwa za kweli.
Nakuja tuyajenge.Sijajua bado
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]List ya wanaume wenye wanawake wengi jf[emoji23][emoji23]
Ingekuwa balaa
Nipo kwenye keyboard kila siku. Sema siendi kwenye udaku.Bibi nimekumis sana.
Mkojo dawa ya wanywa sumu. Zamani watu walitumia Thiodan kujiua, wakawa wananyweshwa mikojo hata mmoja aliokolewa na mkwe wake!!!!Hahaha...basi kwa huo mkojo utasubiria ufe waapi hadi tutakuwahi tukuokoe.
Basi vizuri.Nipo kwenye keyboard kila siku. Sema siendi kwenye udaku.