JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Sipendi iwe hivyo
Nakuaminia wangu!
Adhabu yako...

1567894661913.png
 
There possibility my dictionary ina lack some vocabulary my queen, can you find conducive place to clarify the last word for me plz, kama hautojari..!
Thanks for being my queen.
You don't have to worry...
Just forget it..

Morning my King, it's Sunday! See you later
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
White, wanawake wa humu kiboko washajua hadi goli langu la chips aise. Najua muda si mrefu watamwaga sura yangu humu ndani.

Na nilivyo muoga nikaamua kuwa mpole hivi sasa mimi, Depal Demiss na all other beautiful ladies humu ndani wamekuwa mabest wangu wakubwa, so hawawezi chomoa betri tena.
 
Watu wabaya sana. Ngoja waje pale kwenye goli lako wakuchukue picha waje kuitupia humu.
 
Back
Top Bottom