Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,998
- 8,339
Waje tuchukue selfie as long nauza vidali na chips sio mbaya 🙂 , leo jioni utakuwa wapi nikufuate tufurahie mafao ya chips bestie...Watu wabaya sana. Ngoja waje pale kwenye goli lako wakuchukue picha waje kuitupia humu.