Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Mimi nikajua wote makapuku mkuuLizarazu njoo umwambie huyu.
Anadhani wote masikini humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi kama hutajaliNature ya habari za hivyo siwezi kuzisoma
Shauri yako.Mimi nikajua wote makapuku mkuu
Akhsante..Basi kama hutajali
niwe nakusimulia
MmmhhhHahahaha, wanaogopa.
Wenye sura hizo huwa wana akili sana na mimi nawaelewa sana. So Natanguliza "nakupenda" in advanceHicho kipilipili tu..sura ya baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi kwangu Ni kinyume.Wenye sura hizo huwa wana akili sana na mimi nawaelewa sana. So Natanguliza "nakupenda" in advance
Hapana wewe utaona tu mbona rahisi sana.Kwa ndoa ipi!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya kufungia kwa mtume wenu au??
Kwahiyo sisi mababa tuna sura mbaya sio au nimeelewa vibaya ?Hicho kipilipili tu..sura ya baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijasema hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo sisi mababa tuna sura mbaya sio au nimeelewa vibaya ?
Haujanijua vizuri.Hapana wewe utaona tu mbona rahisi sana.
Si ndio tutajuana tu vizuri,safari moja huanzisha nyingine.Haujanijua vizuri.
Unang'ata nini ?Haujanijua vizuri.
Ok OK SawaNamaanisha kila mtu anapendwa na mumewe baby
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa jinga sana hili.Mwanamke mmoja apatikana ubungo akiwa na 7800 akiitaji kurudi mwanza.
Jinsi 7800 ilivyo vunja mahusiano
Huanzisha nyingine ya kwenda kwa Muhammad au!?Si ndio tutajuana tu vizuri,safari moja huanzisha nyingine.
Nimeishia apa [emoji134][emoji134][emoji134] nitarudi tena kumalizia post zilizobaki
Nani huyo aliyekufichaAshukuriwe alienificha maana ameniweza..