JF ingekuwa gazeti la udaku.

JF ingekuwa gazeti la udaku.

Yagundulika ni baada ya kutaka kuchomolewa betri
Yeye hata betri ikichomolewa hajali maana haita badilisha uhalisia.

Inasemekana aliweka avatar picha yake halisi na kwa Bahati mbaya cousin wake mmoja akambamba
 
Sasa sio sirii Mzigua90 ni dume lililojivika uanamke.

Hatimaye MOTHER confesser asema kilichomfanya abadili ID

Trend ya ID mpya yathibitika ni kutokana na member wengi kuogopa kuwekwa picha zao hadharani

manengelo apotea katika mazingira ya kutatanisha. Polisii wanaendelea na uchunguzi kumjua member aliesababisha Manengelo kupotea.

Jifunze mbinu za kukwepa ban. Uk 7
 
Back
Top Bottom