interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Nipo aisee za masiku mingiUpo mzee baba
Ni baada ya kuonekana yupo bench kwa muda mrefuSakayo anakwama wapi? Ijumaa lauliza.
Kwema sana Mzee Mambo niaje?Hahaha..mzee kwema?
Siri yako itafichuka hivi hiyo ya uongo.Hatimaye siri yafichuka, anayejiita SweetieLee kumbe ni njemba,
@Daby aamua kuwavurugia mabaharia@Daby atangaza hali ya hatari. Hii ni baada ya kukosa PM kwa mwaka sasa.
Aaah wapi
"Imefichuka baba swalehe ni mwanaume pekee mwaminifu jf nzima
HahahahahaHahaha huyu jamaa mwehu.
Yeye hata betri ikichomolewa hajali maana haita badilisha uhalisia.Yagundulika ni baada ya kutaka kuchomolewa betri
Sweetlee atoweka, ni baada ya kuandika kiTrump kwenye uzi wa mtongozo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkiona nimepotea kwa muda please call 911, huu uzi unaweza niua..!!