HahahahahahaYeye hata betri ikichomolewa hajali maana haita badilisha uhalisia.
Inasemekana aliweka avatar picha yake halisi na kwa Bahati mbaya cousin wake mmoja akambamba
πππJifunze mbinu za kukwepa ban. Uk 7
mwambie apunguze kutumia Kimario-VantSijambo mimi jamani rafiki...
Mchepuko wangu haukuniaga sijauona wiki sasa ndo nafuatilia habari nijue mtaro uko wapi
@Aspirin mchepuko wangu mimi jamani, ukuje hukumwambie apunguze kutumia Kimario-Vant
Cardiovascular utawaambia nini watu siku wakijua wewe ni muuza kuku pale chako ni chako? Muda wote unanukia mafuta ya kula
ππππ
Kwa kwel nmefichwa vya kutosha ndio maana hata huku sionekani...
Tena umtumie 7800 nyingine atajua mwenyewe atakapoipata πZile kuku tamu sana, kama ni yeye aniletee kuku nusu na ndizi mbili, natuma nauli.
Tena umtumie 7800 nyingine atajua mwenyewe atakapoipata π
Aise, naona umenifukunyua hadi umejua nafanya wapi kazi ππ. Wewe huoni siku hizi nimekuwa mpole sana best.Cardiovascular utawaambia nini watu siku wakijua wewe ni muuza kuku pale chako ni chako? Muda wote unanukia mafuta ya kula
ππππ
Hongera sana kwa kufichika MkuuKwa kwel nmefichwa vya kutosha ndio maana hata huku sionekani...
Taja location bossZile kuku tamu sana, kama ni yeye aniletee kuku nusu na ndizi mbili, natuma nauli.
π π π πSweetlee atoweka, ni baada ya kuandika kiTrump kwenye uzi wa mtongozo
Halafu weweeeAise, naona umenifukunyua hadi umejua nafanya wapi kazi ππ. Wewe huoni siku hizi nimekuwa mpole sana best.
Halafu kwanini umenitag huku kwani niko na tatizo na wewe Depal π³π³Cardiovascular utawaambia nini watu siku wakijua wewe ni muuza kuku pale chako ni chako? Muda wote unanukia mafuta ya kula
ππππ