JF Intelligence: Kama una pesa za kenya(Ksh) Tafadhali Badilisha ziwe dollar($) Usiseme haukuambiwa!

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
dollars as IMF facility expiry weighs on shilling
NAIROBI, Sept 13 (Reuters) - Kenya’s central bank pumped in dollars into the market late in Thursday’s trading session after the shilling weakened due to the expiry of a stand-by loan facility with the International Monetary Fund, traders said.
The shilling rose to 100.85/101.05 per dollar after the intervention from 101.02/101.22 where it was trading before the intervention. It had closed Wednesday’s session at 100.75/95. (Reporting by Duncan Miriri and John Ndiso; editing by George Obulutsa)

NB:
Kama wewe ni mwanabiashara na una wateja kenya, Tafadhali,Tafadhali...Lipwa mali yako kwa Dollar($)
Usilalamike haukuambiwa
 
Wengine si wachumi, mtuelezee vizuri, kwani ukilipwa kwa ksh, shida ni nini?
 
Kuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.
NB: Kama wewe. si mwanabiashara, na haubadilishi pesa mara kwa mara, hakuna haja ya ku- Comment kwa huu uzi. Hii mada haukusu - kaa mbali
 
Naaaaam! Habari siri na kiswahili kilichochanganyika na kibanyamulenge.
 
Kuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.
NB: Kama wewe. si mwanabiashara, na haubadilishi pesa mara kwa mara, hakuna haja ya ku- Comment kwa huu uzi. Hii mada haukusu - kaa mbali
Duuh
 
Wewe unataka kuwa haribia wenzako tu, Una lolote.

Nipo kenya Kwasasa na mambo ni shwari tu.
 
Mkuu haya mambo siyo kutembea mtaani ukayaona! Hajasema Kenya kuna vita. You must have a certain skill set ku analyse financial trends in relation to ongoing events. Kuna watu wanafanya speculation na hedging kwenye financial markets ambao wana uelewa wa haya mambo and make a living. As an informed person in this area i agree with Mkikuyu akili timamu.
 
Nimesema si lazima u comment kwa huu uzi, Hii ni tahadhari ya wanabishara wanao fanya biadhara na Kenya.
Hii habari ni intelligence, Kuzuia hasara
Your 'intelligence' is not even intelligent enough. Komalia huko huko vijiweni, kama unazo hungejipiga kifua na kupiga mayowe.
 
Acha umama. Unataka tujisifie kwa vitu ambavyo ni vya kawaida? Kuhandle dollar au euro ni sifa kwa watu washamba kama wewe tu. Have you ever been out of E.Africa?
Hii habari haikuhusu wewe, Keep to your lane please
 
Back
Top Bottom