JF Intelligence: Kama una pesa za kenya(Ksh) Tafadhali Badilisha ziwe dollar($) Usiseme haukuambiwa!

JF Intelligence: Kama una pesa za kenya(Ksh) Tafadhali Badilisha ziwe dollar($) Usiseme haukuambiwa!

Kuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.
NB: Kama wewe. si mwanabiashara, na haubadilishi pesa mara kwa mara, hakuna haja ya ku- Comment kwa huu uzi. Hii mada haukusu - kaa mbali

Acha dharau na ubinafsi..mtu kauliza elezea.. unajifanya mjuaji kumbe na wewe hujatumia akili zako bali umesoma..

Umeyasoma hapa hivyo hata kama sio yeye kwani hawezi kuwa na watu wakueweleza!

Ungekuwa kichwa haswa mwenyewe ungeelezea kurembesha uzi huu. bomu tu wewe..

Haya kaulize uje umjibu .. maana umeshindwa ukaishia kuandika upupwu
 
dollars as IMF facility expiry weighs on shilling
NAIROBI, Sept 13 (Reuters) - Kenya’s central bank pumped in dollars into the market late in Thursday’s trading session after the shilling weakened due to the expiry of a stand-by loan facility with the International Monetary Fund, traders said.
The shilling rose to 100.85/101.05 per dollar after the intervention from 101.02/101.22 where it was trading before the intervention. It had closed Wednesday’s session at 100.75/95. (Reporting by Duncan Miriri and John Ndiso; editing by George Obulutsa)

NB:
Kama wewe ni mwanabiashara na una wateja kenya, Tafadhali,Tafadhali...Lipwa mali yako kwa Dollar($)
Usilalamike haukuambiwa
1. Kenya never made use of the IMF standby credit facility of $1.5B which was meant to cussion the shilling in the event of external shocks, But CBK did a good job in stabilising the shilling making Ksh the 3rd most stable currency in the world between Jan-June 2018

2. Kenya forex reserve cover more than 6 months (over $9B), so the forex reserve that we currently have is 8 times more than the IMF had given us, its more than enough to cution the shilling.

3. Any fall in the shilling now or in the coming days, will be purely based on traders and investors speculation and panic buying of dollars .. it will not be because of economic nonperformance . if the currency depreciates significantly, it will happen because of fear mongering by people like you who go around spreading fear (which is contagious) to traders and investors. So if you really are Kenyan, you can pat yourself on the back for continuing to betray your country.

The good thing about forex exchange trading is that a week later people come back to their senses after realizing it was all just speculative and they trade back their $$$ for Ksh and the shilling stabilizes once again and people forget that it even happened
 
Ungeonyesha miezi michache Ksh vs US dollar ilikuwaje.

Je katika kipindi hicho Ksh imeporomoka kiasi gani hadi kuwe na taharuki?

Kwasababu fedha kuimarika au kuporomoka ni kawaida na hii ni kwa fedha yoyote.

Hapo nimeona umesema Ksh ilikuwa 101 na kuimarika hadi 100. Yaani usd1 = Ksh 100 sivyo?

Nadhani hiya mabadiliko ya thamani yameletwa na speculation ya traders wa fedha za kigeni.

Nimeshindwa kuelewa kwanini wafanyabiashara wawe na hofu hivyo.
 
Tanzanians are starting to behave like Somalis.. Mtu ako na chuki dhidi ya Kenya unashindwa kwani tulimwibia nini....

La kushtua.. Haters wengine hata Kenya hajawahi kuingia..
Na wengine wamekuja hapa Kenya kutafuta riziki na kufanikiwa, si angekaa huko kwao anywe maziwa na achovye asali.
KENYA HAIPOROMOKI, JENGENI NCHI YENU
 
Wanabiashara mjitahadhali na fedha za kenya. Msije kulia lia hamkuambiwa
IMF washaa sema

Shilling overvalued by 17.5 per cent, says IMF
Mkuu mimi nakuelewa kabisa. Na kama kuna mtu mwingine anaefuatilia masuala ya fedha anaelewa.

Kenya imeonesha dalili zote za haya unayoyaema, uchumu kuanguka, makampuni kufilisika, unemployment kuongezeka, uzalishaji viwandani kushuka, deni kubwa la taifa na mengi neyo.

Kenya ni one of the early casualties. Hata watu wanaoitegemea dollar pia jiandaeni. Hii second lockdown will reveal the cracks in the dollar. The collapse of the dollar is inevitable. Hata kama sio sahivi basi ni two or three years time it will totally crush.

Advise yangu ni nunueni dhahabu na silver wekeni ndani. CANADA washakataza kuuza dhahabu mtaani. Huku pia watatuletea tu hizi sheria.

Invest kwenye Ardhi, madini, wanyama au Mali zingine ambazo haziwezi kuathirika na hii mainstream world economy. Yajayo yanatisha.
 
1. Kenya never made use of the IMF standby credit facility of $1.5B which was meant to cussion the shilling in the event of external shocks, But CBK did a good job in stabilising the shilling making Ksh the 3rd most stable currency in the world between Jan-June 2018

2. Kenya forex reserve cover more than 6 months (over $9B), so the forex reserve that we currently have is 8 times more than the IMF had given us, its more than enough to cution the shilling.

3. Any fall in the shilling now or in the coming days, will be purely based on traders and investors speculation and panic buying of dollars .. it will not be because of economic nonperformance . if the currency depreciates significantly, it will happen because of fear mongering by people like you who go around spreading fear (which is contagious) to traders and investors. So if you really are Kenyan, you can pat yourself on the back for continuing to betray your country.

The good thing about forex exchange trading is that a week later people come back to their senses after realizing it was all just speculative and they trade back their $$$ for Ksh and the shilling stabilizes once again and people forget that it even happened
Good analysis.
Just a polite reminder though, he's not Kenyan. He's a bongolala who likes to associate himself with Kenya. His clever choice of username and avatar tells it all
 
Back
Top Bottom