Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
Wengine si wachumi, mtuelezee vizuri, kwani ukilipwa kwa ksh, shida ni nini?dollars as IMF facility expiry weighs on shilling
NAIROBI, Sept 13 (Reuters) - Kenya’s central bank pumped in dollars into the market late in Thursday’s trading session after the shilling weakened due to the expiry of a stand-by loan facility with the International Monetary Fund, traders said.
The shilling rose to 100.85/101.05 per dollar after the intervention from 101.02/101.22 where it was trading before the intervention. It had closed Wednesday’s session at 100.75/95. (Reporting by Duncan Miriri and John Ndiso; editing by George Obulutsa)
NB:
Kama wewe ni mwanabiashara na una wateja kenya, Tafadhali,Tafadhali...Lipwa mali yako kwa Dollar($)
Usilalamike haukuambiwa
Kuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.Wengine si wachumi, mtuelezee vizuri, kwani ukilipwa kwa ksh, shida ni nini?
Naaaaam! Habari siri na kiswahili kilichochanganyika na kibanyamulenge.Kuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.
NB: Kama wewe. si mwanabiashara, na haubadilishi pesa mara kwa mara, hakuna haja ya ku- Comment kwa huu uzi. Hii mada haukusu - kaa mbali
DuuhKuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.
NB: Kama wewe. si mwanabiashara, na haubadilishi pesa mara kwa mara, hakuna haja ya ku- Comment kwa huu uzi. Hii mada haukusu - kaa mbali
Wewe unataka kuwa haribia wenzako tu, Una lolote.Kuna shida,Tena kubwa sana kwa mujibu wa habari siri nilizo nazo. Hii ni onyo kwa wanabiashara wasiweke pesa zao ama kulipwa na KSH.
NB: Kama wewe. si mwanabiashara, na haubadilishi pesa mara kwa mara, hakuna haja ya ku- Comment kwa huu uzi. Hii mada haukusu - kaa mbali
Mkuu haya mambo siyo kutembea mtaani ukayaona! Hajasema Kenya kuna vita. You must have a certain skill set ku analyse financial trends in relation to ongoing events. Kuna watu wanafanya speculation na hedging kwenye financial markets ambao wana uelewa wa haya mambo and make a living. As an informed person in this area i agree with Mkikuyu akili timamu.Wewe unataka kuwa haribia wenzako tu, Una lolote.
Nipo kenya Kwasasa na mambo ni shwari tu.
Kuna mada zingine Vilaza mnapita wima tu sio lazima uchangieWewe unataka kuwa haribia wenzako tu, Una lolote.
Nipo kenya Kwasasa na mambo ni shwari tu.
Hii habari haikuhusu, wewe mbele nyuma pesa unayoijua ni Ya KenyattaNaaaaam! Habari siri na kiswahili kilichochanganyika na kibanyamulenge.
Nimesema si lazima u comment kwa huu uzi, Hii ni tahadhari ya wanabishara wanao fanya biadhara na Kenya.Wewe unataka kuwa haribia wenzako tu, Una lolote.
Nipo kenya Kwasasa na mambo ni shwari tu.
Acha umama. Unataka tujisifie kwa vitu ambavyo ni vya kawaida? Kuhandle dollar au euro ni sifa kwa watu washamba kama wewe tu. Have you ever been out of E.Africa?Hii habari haikuhusu, wewe mbele nyuma pesa unayoijua ni Ya Kenyatta
Your 'intelligence' is not even intelligent enough. Komalia huko huko vijiweni, kama unazo hungejipiga kifua na kupiga mayowe.Nimesema si lazima u comment kwa huu uzi, Hii ni tahadhari ya wanabishara wanao fanya biadhara na Kenya.
Hii habari ni intelligence, Kuzuia hasara
Your 'intelligence' is not even intelligent enough. Komalia huko huko vijiweni, kama unazo hungejipiga kifua na kupiga mayowe.
Hii habari haikuhusu wewe, Keep to your lane pleaseAcha umama. Unataka tujisifie kwa vitu ambavyo ni vya kawaida? Kuhandle dollar au euro ni sifa kwa watu washamba kama wewe tu. Have you ever been out of E.Africa?
[emoji1][emoji1][emoji1] Obviously, this lane is too slow for me.Hii habari haikuhusu wewe, Keep to your lane please
Pingili nywele you must be a cracker coderNaaaaam! Habari siri na kiswahili kilichochanganyika na kibanyamulenge.