JF jogging club

JF jogging club

Inawezekana kabisa pasipo watu kujuana id zao.....

Naunga mkono hoja
 
Mtani kwani kasema Makutano itakuwa wapi? 😎
hajasema lakini mpaka sasa zoezi lake lishafeli.
Maana hata akisema iwe wapi bado kwa wengine itakuwa mbali. Kwa kifupi kiJF ni ngumu. Labda aanzishe ya hapo mtaani kwao.
 
hajasema lakini mpaka sasa zoezi lake lishafeli.
Maana hata akisema iwe wapi bado kwa wengine itakuwa mbali. Kwa kifupi kiJF ni ngumu. Labda aanzishe ya hapo mtaani kwao.
Oooh!! Sawa Mtani.

Japo si wote watakaokuwa mbali ikiwa atasema Makutano ni wapi kwani members wa jf wapo kila sehemu.
 
Mimi tipwa tipwa mtakuwa mnanikuta humu humu mana nilishashindwaga hayo mambo [emoji3][emoji3]
Mwananchi mwenzangu kama sijakosea.. Ngoja nikupe mbinu ya kijeshi instead of kwenda jogging kopa tu mkopo mrefu bank [emoji23] halafu zitumbue tumbue hizo pesa zikibaki kidogo anza kuulipa mbona ukitaka uishe huo utipwa tipwa utaisha wenyewe automatically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tooobaa!!! Hivyo ile saa naumiza kichwa namna ya kupambana na mkopo basi minyama yote inanywea.

Ama kweli hunitakii mema Mwananchi mwenzangu. 😅😅
 
Back
Top Bottom