LGE2024 JF kama familia moja muhimu na ya maana sana, my friends, ladies and gentlemen, sote tukajiandikishe bila kukosa, kwa mustakabali mwema wa taifa letu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
kumbe unaelewa gentleman,

nenda kajiandikishe, ukagombee na ukapige kura kuchagua viongozi watakao tengeneza hayo mazingira bora na mazuri zaidi ya wananchi kupata hela πŸ’
hao viongozi ndio hawapo! labda tukakodi viongozi huko ulaya na amerika au tukamchukue kiduku aje atukomeshe!
 
Kwa kuwa kura yangu haiheshiwi.nimeamua kwa hiyari yangu kuto kujiandikisha na sitopiga kura.waendelee tu kujimilikisha nchi hii.siwezi poteza muda wangu huku nikijuwa kabisa wataiba kura.
Basi hapo CCM wanafurahi km nn
 
hao viongozi ndio hawapo! labda tukakodi viongozi huko ulaya na amerika au tukamchukue kiduku aje atukomeshe!
kama hawapo si ujitokeze ili waanze kuwepo sasa gentleman 🀣

usiwaze kitumwa gentleman
 
Mkuu, usemalo ni kweli; lakini ni nani anasababisha haya yote,?
 
Labda asilimia 70 ya wewe na hiyo familia yako alafu huu muandiko wako wewe ni mwenetu Mwamshamba wewe haya tuko pamoja " ndugu Mtanzania"🀣🀣
 
Basi hapo CCM wanafurahi km nn
hakuna haja ya kufurahi gentleman,

muhimu zaidi ni zoezi la kizalendo kwenda kwa haki, uhuru na usawa na amani kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi na wananchi wakapata maendeleo πŸ’
 
kama hawapo si ujitokeze ili waanze kuwepo sasa gentleman 🀣

usiwaze kitumwa gentleman
mimi niwe kiongozi mbona patachangamka!
kiongozi nikiwa mimi abadani mmeyakanyaga kwanza nitabadili wimbo hata wa taifa maana ule umepoa hauchezeki hata kwa style za amapiano!..🀣
 
Labda asilimia 70 ya wewe na hiyo familia yako alafu huu muandiko wako wewe ni mwenetu Mwamshamba wewe haya tuko pamoja " ndugu Mtanzania"🀣🀣
nikuhakikishie tu,
hadi kufikia hiyo tar 20 yaani jpili, zoezi litakua limefikia lengo la 100% bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Unapita vituoni kujionea mahudhurio ya wanaojiandikisha au unaangalia takwimu za kupikwa ongea na wenzako hali mbaya huku
 
mimi niwe kiongozi mbona patachangamka!
kiongozi nikiwa mimi abadani mmeyakanyaga kwanza nitabadili wimbo hata wa taifa maana ule umepoa hauchezeki hata kwa style za amapiano!..🀣
sasa mbona unabweka bweka pembeni wakati wanja huru wa demokrasia uko wazi na unaogopa hata kujiandikisha tu 🀣
 
nikuhakikishie tu,
hadi kufikia hiyo tar 20 yaani jpili, zoezi litakua limefikia lengo la 100% bila mbambamba yoyote πŸ’
Unapita vituoni kujionea mahudhurio ya wanaojiandikisha au unaangalia takwimu za kupikwa ongea na wenzako hali mbaya huku
 
sasa mbona unabweka bweka pembeni wakati wanja huru wa demokrasia uko wazi na unaogopa hata kujiandikisha tu 🀣
kama unadaftari la kujiandikisha linatoa hela niite ila kwenda kumpigia mtu kura akapate kura aje atule hela zetu hii hapana, kwanza hilo daftari likowapi litunzeni nikilikamata nalichana!
 
Unapita vituoni kujionea mahudhurio ya wanaojiandikisha au unaangalia takwimu za kupikwa ongea na wenzako hali mbaya huku
ndiyo maana iliyosalia ni 30% tu ulitaka ukute watu wengi kiasi gan gentleman?πŸ’
 
kama unadaftari la kujiandikisha linatoa hela niite ila kwenda kumpigia mtu kura akapate kura aje atule hela zetu hii hapana, kwanza hilo daftari likowapi litunzeni nikilikamata nalichana!
hizo ni fikra za kizamani gentleman 🀣

kwamba eti nikishiriki maandamano utanipa nini? utalipwa nini sasa zaidi ya virungu vya polisi?πŸ’

sio lazima umpigie mtu mwingine kura, unaweza kugombea na ukajipigia kura mwenyewe gentleman, ni rahisi sana mambo haya πŸ’
 
Kura ndani ya box siyo zinazoamua Nina awe mshindi. Inategemea nani anahesabu na nani anatangaza.
 
ndiyo maana iliyosalia ni 30% tu ulitaka ukute watu wengi kiasi gan gentleman?πŸ’
Unajufariji wewe hali mbaya mpaka mnachukua watoto wa shule wakaokoe jahazi we andika kishabiki tu hapa ila iwe taa nyekundu kwenu mbele kubaya
 
kama haileti hela haina tija kwangu!,kwanza mi naonaga tungeuza nchi tukagawana hela!
 
Unajufariji wewe hali mbaya mpaka mnachukua watoto wa shule wakaokoe jahazi we andika kishabiki tu hapa ila iwe taa nyekundu kwenu mbele kubaya
sina haja ya faraja wala huzuni gentleman, na ili iweje kwa mfano 🀣

wanafunzi ngazi zote za elimu nchini, kuanzia msingi hadi vyuo vikuu, wale wote wenye sifa na vigezo vya kikatiba hususan umri wa miaka 18, inafaa waandikishwe ili hatimae nao wapate fursa ya kuamua mustakabali wa maendeleo katika maeneo ya shule walizopo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…