ikiwa ni kupoteza muda ifike mahali basi pasiwepo na hali ya kulalamika kupita kiasi kwa walioshiriki zoezi hilo na kupewa dhamana ya uongozi. Wanachokifanya ndicho wengi wameamua kiwe hivyo kupitia sanduku la kura, waliona ni kupoteza muda kiwewe kisiwepo basi..
akina nani hao waliopangwa na wanajulikana ndugu mdau?
Infact mpaka sasa,
zoezi la kujiandikisha kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa limeenda vizuri mno katika maeneo mengi ya nchi. Huu ni mchakato, yawezekana kuna dosari na kasoro ndogo ndogo katika maeneo fulani fulani.
Hata hivyo,
hiyo haizuii hata kidogo zoezi kukamilika na uchaguzi kufanyika Nov27.2024.
Nadhani mpka sasa zaidi ya 70% ya waliotarajiwa kujiandikisha tayari tayari wamejiandikisha 🐒