LGE2024 JF kama familia moja muhimu na ya maana sana, my friends, ladies and gentlemen, sote tukajiandikishe bila kukosa, kwa mustakabali mwema wa taifa letu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Nani huyo asie heshimu kura yako hali ya kua una haki na fursa ya kuilinda na kuidai kikatiba?

hiyari yako iwe ni haki na uhuru wako pekeyako, na isiwe usumbufu wala bugudha kwa wengine watakao amua mustakabali wa uongozi wa eneo unaloishi kwa niaba yako..

watakao chaguliwa waheshimiwe na wananchi wote 🐒
Hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Tumefikia mwisho wa kura zetu kuchezewa ili kuiweka ccm madarakani kwa shuruti. Tumewakataa kwa njia ya kura hamsikii mnazidi kuiba kila tukijitokeza kushiriki, acha tusitokee kwenye huo upuuzi ili mjue tumewachoka dhahiri.

Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la kura irejee. Na huu ni mwanzo tu, zoezi la uchaguzi mkuu ndio hamtaona watu kabisa.
 
mkose na muda wa kubweka bweka na kulalamika kusumbua watu na kutia huruma baadae right?🐒
Muda hakuna huo
Karibu capuchino tuyajenge,
Atutaki blah blah sjui serikali mitaa mtendqji kata

Ova
 
Attachments

  • 20241017_093619.jpg
    20241017_093619.jpg
    615.1 KB · Views: 2
Muda hakuna huo
Karibu capuchino tuyajenge,
Atutaki blah blah sjui serikali mitaa mtendqji kata

Ova
Asanti sana karibu pia
 
Attachments

  • IMG_20240104_112742_8.jpg
    IMG_20240104_112742_8.jpg
    316.8 KB · Views: 2
Kura ndani ya box siyo zinazoamua Nina awe mshindi. Inategemea nani anahesabu na nani anatangaza.
huo ni ushirikina na imani potofu za wenye Iman haba 🐒
 
Juma pili hii tar 20.10.2025, zoezi la kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria wa serikali za mitaa na vijiji Tanzania, litahitimishwa rasmi nchi nzima.

Kama mzalendo na kiongozi mwenye heshima wa familia hii pana ya JF, natoa wito na kuwarai wadau wote humu jukwaani, kuchukua hatua za makusudi, kujitolea na kuwajibika kizalendo, kwenda kujiandikisha na hatimae kushiriki katika zoezi la maamuzi la kupiga kura ili kuchagua wale watakaofaa kuongoza na kushughulika na changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi katika maeneo tunapoishi.

Platform hii maalumu kama oversight team katika mambo mbalimbali nchini, imesaidia pakubwa sana kuchochea mageuzi na mabadiliko katika mambo mengi sana humu nchini. Hivyo basi ni muhimu sana, sote kama wadau wa kuchochea mabadiliko, kua sehemu ya mchakato huu muhimu kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa ili kua na haki, hoja Lakini pia fursa pana zaidi ya kushauri na kukosoa pale inapobidi badala ya kulalamika au kuzira pekee. Tuisaidie nchi yetu kwa vitendo.

Tututumie vizuri sehemu ya muda mfupi wa siku tatu zilizobaki na kua sehemu ya wapiga kura wa kihistoria Tanzania Nov 27, 2024. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
kwenda kujiandikisha ni ujinga kuulizwa maswali na makarani eti kama wewe ni chadema au ccm
 
Hakuna mtu anayejitambua ataendelea kushiriki huo upuuzi uitwao uchaguzi. Tumefikia mwisho wa kura zetu kuchezewa ili kuiweka ccm madarakani kwa shuruti. Tumewakataa kwa njia ya kura hamsikii mnazidi kuiba kila tukijitokeza kushiriki, acha tusitokee kwenye huo upuuzi ili mjue tumewachoka dhahiri.

Ni aidha machafuko au mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la kura irejee. Na huu ni mwanzo tu, zoezi la uchaguzi mkuu ndio hamtaona watu kabisa.
wewe si una matatizo gentleman,
jionee huruma walau kukaa kimya?

unaongea nini na huna sifa za kujiandikisha na wala hujawahi kupiga kura na bado unalalamika 🤣

unamlalamikia nan sasa? hakunaga miujiza kwenye mambo haya. Ni kujipanga tu 🐒
 
Yako wapi hayo matokeo gentleman kwa faida ya wadau?

au umeenda kwa mganga na hayo ndiyo majibu ya ramli?

na ikiwa ni kupoteza muda, usije kupoteza muda pia kubweka bweka wakati mambo yatakavyokua yanaamuliwa na yakiendeshwa na ambao unasema ni kupoteza muda right?🐒

Wee nenda tu familia yako mkapige kura na wengine watakao weza kwenda siyo tatizo, but as for me "BIG NO"
 
Wana CCM tayari tumejiandikisha. CHADEMA wao wanapiga makelele na porojo tu za kuleta taharuki.
Sio kujiandikisha tu, hata ikibidi mlale hapo vituoni kabisa kudhibitsha mmejiandikisha. Na hiyo idadi kiduchu unayoina hizo ndio huwa kura halisi za majizi ya ccm, ila wapinzani wakijazana vituoni ndio nyie huzipora. Yaani hapo ndio mtajua kizazi hiki kimewachoka kwa kiwango gani.
 
wewe si una matatizo gentleman,
jionee huruma walau kukaa kimya?

unaongea nini na huna sifa za kujiandikisha na wala hujawahi kupiga kura na bado unalalamika 🤣

unamlalamikia nan sasa? hakunaga miujiza kwenye mambo haya. Ni kujipanga tu 🐒
Nasisitiza kizazi hiki sio cha ccm, hivyo kimeamua kuwaonyesha kuwa hawawataki. Na kama mlitegemea watu watajazana vituoni ili muibe kura basi mmeukalia. Hakuna anayejitambua atashiriki huo ukhanithi. Tafuteni mazombie ndio wajitokeze kupiga kura.
 
Mamilioni ya waTanzania zaidi ya 70% tayari wamejitokeza na wamejiandikisha.

Ni wazi zoezi limewavutia makundi yote ya wananchi na mpka kufikia hiyo jpili lengo la 100% litakua limefikiwa..

Kongole nyingine sana kwa vijana wa kisasa, kuitikia wito wa kipenzi chao Rais Dr Samia Suluhu Hassan kujitokeza kujiandikisha kwa wingi sana na kushiriki kupiga kura kwenye uchaguzi huo wa Nov.27🐒
 
Wee nenda tu familia yako mkapige kura na wengine watakao weza kwenda siyo tatizo, but as for me "BIG NO"
Ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa mamilioni ya waTanzania ambao tayari wamejitokeza na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27 2024..

Haya yote ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Masuala binafsi yatafutiwe ufumbuzi binafsi 🐒
 
Mamilioni ya waTanzania zaidi ya 70% tayari wamejitokeza na wamejiandikisha.

Ni wazi zoezi limewavutia makundi yote ya wananchi na mpka kufikia hiyo jpili lengo la 100% litakua limefikiwa..

Kongole nyingine sana kwa vijana wa kisasa, kuitikia wito wa kipenzi chao Rais Dr Samia Suluhu Hassan kujitokeza kujiandikisha kwa wingi sana na kushiriki kupiga kura kwenye uchaguzi huo wa Nov.27🐒
Bwahaahaaa, bwahaaaaa nimecheka kwa nguvu kinoma. Eti 70%, mbona hiyo kidogo, ungesema mmevuka lengo kabisa. Nasema hivi, hakuna mtu anayejitambua ataendelea kujitokeza kushiriki huo uhayawani. Kwahiyo goli liko wazi, msijihangaishe kuiba kura, jamii imeshafikisha ujumbe kuwa imewachoka. Hutaki jinyonge.
 
Ni uzalendo wa kiwango cha juu sana kwa mamilioni ya waTanzania ambao tayari wamejitokeza na kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa Nov 27 2024..

Haya yote ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote. Masuala binafsi yatafutiwe ufumbuzi

Sawa kabisa Watanzania tayari Ml 60 wamejiandikisha kupiga kura. Nafikiri mpaka zoezi liishe watakuwa wamefikia ml 90. Nchi ya vichekesho, Only in Tz!!
 
Juma pili hii tar 20.10.2025, zoezi la kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi muhimu sana na wa kihistoria wa serikali za mitaa na vijiji Tanzania, litahitimishwa rasmi nchi nzima.

Kama mzalendo na kiongozi mwenye heshima wa familia hii pana ya JF, natoa wito na kuwarai wadau wote humu jukwaani, kuchukua hatua za makusudi, kujitolea na kuwajibika kizalendo, kwenda kujiandikisha na hatimae kushiriki katika zoezi la maamuzi la kupiga kura ili kuchagua wale watakaofaa kuongoza na kushughulika na changamoto mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi katika maeneo tunapoishi.

Platform hii maalumu kama oversight team katika mambo mbalimbali nchini, imesaidia pakubwa sana kuchochea mageuzi na mabadiliko katika mambo mengi sana humu nchini. Hivyo basi ni muhimu sana, sote kama wadau wa kuchochea mabadiliko, kua sehemu ya mchakato huu muhimu kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa ili kua na haki, hoja Lakini pia fursa pana zaidi ya kushauri na kukosoa pale inapobidi badala ya kulalamika au kuzira pekee. Tuisaidie nchi yetu kwa vitendo.

Tututumie vizuri sehemu ya muda mfupi wa siku tatu zilizobaki na kua sehemu ya wapiga kura wa kihistoria Tanzania Nov 27, 2024. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania
Usisahau kuwahimiza na wale wanao washule kujiandikisha.
 
Back
Top Bottom