JF Kibaha wing: Tufahamiane na kutambuana hapa

JF Kibaha wing: Tufahamiane na kutambuana hapa

Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana...
Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.

Jr[emoji769]
Mailimoja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

kilicho akilini kitumie
 
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana.

Mimi ni mkazi wa Msata kilingeni lakini muda mwingi huwa niko Mlandizi na Kibaha... Hebu tutoeni hofu tufahamiane kuna mengi ya kushirikishana.

Jr[emoji769]
Kibaha kwa Mfipa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasoma comments tyuuuh, maana nilikuwa huko ndan ya miaka 2, chini ya uangalizi maalumu wa wizara ya ndalichako.
 
Back
Top Bottom