JF kipi nisichokijua?

Nitaongea na Moderator Maxence Melo Apewe ban la milele.

Shida ana ID nyingi
Hawezi kupewa ban ya milele huyo, he's very influential humu JF sema tu tabia yake ya utukanaji ndio inamshushia hadhi ila Ni jamaa mpoa sana
 
Hello.

Kwa kipindi kirefu nimekuwa msomaji wa comments jamiiforum.

Leo nimeamua kujiunga Rasmi.

Niambie kipi nizingatie.

Kipi unahisi sikijui kuhusiana na Jamiiforum?
Utajifunza jinsi muda unavyokwenda. Ukikosea, ambapo ni nadra Sana, kwani hakuna ugumu wowote, utapata msaada.
 
Zingatia hili
Humu mtu akikutusi Kwa namna yeyote ilee usipanic kwani yeye ndio mjinga zaidi kama inavyojulikana duniani kote Na humu ipo hivyo
 
Zingatia hili
Humu mtu akikutusi Kwa namna yeyote ilee usipanic kwani yeye ndio mjinga zaidi kama inavyojulikana duniani kote Na humu ipo hivyo
Kwani mimi nikimwashia moto [emoji91] kipi kitanikuta?
 
Kwani mimi nikimwashia moto [emoji91] kipi kitanikuta?

Mjinga mpe cheo

Kadri utakavyomdharau na kuliacha liende au Liendelee kutukana ndio kadri linavyojiona jinga na kuacha kutukana wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…