JF kipi nisichokijua?

JF kipi nisichokijua?

Hello.

Kwa kipindi kirefu nimekuwa msomaji wa comments jamiiforum.

Leo nimeamua kujiunga Rasmi.

Niambie kipi nizingatie.

Kipi unahisi sikijui kuhusiana na Jamiiforum?
Utajifunza jinsi muda unavyokwenda. Ukikosea, ambapo ni nadra Sana, kwani hakuna ugumu wowote, utapata msaada.
 
Zingatia hili
Humu mtu akikutusi Kwa namna yeyote ilee usipanic kwani yeye ndio mjinga zaidi kama inavyojulikana duniani kote Na humu ipo hivyo
 
Zingatia hili
Humu mtu akikutusi Kwa namna yeyote ilee usipanic kwani yeye ndio mjinga zaidi kama inavyojulikana duniani kote Na humu ipo hivyo
Kwani mimi nikimwashia moto [emoji91] kipi kitanikuta?
 
Kwani mimi nikimwashia moto [emoji91] kipi kitanikuta?

Mjinga mpe cheo

Kadri utakavyomdharau na kuliacha liende au Liendelee kutukana ndio kadri linavyojiona jinga na kuacha kutukana wengine
 
Back
Top Bottom