Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,829
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu kwa wale wanaonipm na ninao wapm,wengi sana majf memba huwa wanafikiri mimi ni mwanaume.....kwahiyo basi inaonekana wadada sie wajf japo si wote tupo kitarget zaidi hasa ya kimapenzi.
Nimekuwa nikipata mesej nyingi sana mpaka hivi karibuni mpendwa dadangu mmoja baada ya kumwambia sorry mimi ni dada akawa mbishi sana kuamini nashukuru atlast akanambia "sorry i thought your a boy" i need a guy.....sasa ndugu zanguni tatizo ni nini?hata kama kuna mapenzi ya mtandaon basi twende kistyle na sio kirahis km hv😛hoto:..samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza zaidi nadhan upeo wangu ni huu na pia nitakuwa nimewajuza kwa wale wanaodhan mimi ni he.