jf kitarget zaidi

jf kitarget zaidi

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,829
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu kwa wale wanaonipm na ninao wapm,wengi sana majf memba huwa wanafikiri mimi ni mwanaume.....kwahiyo basi inaonekana wadada sie wajf japo si wote tupo kitarget zaidi hasa ya kimapenzi.

Nimekuwa nikipata mesej nyingi sana mpaka hivi karibuni mpendwa dadangu mmoja baada ya kumwambia sorry mimi ni dada akawa mbishi sana kuamini nashukuru atlast akanambia "sorry i thought your a boy" i need a guy.....sasa ndugu zanguni tatizo ni nini?hata kama kuna mapenzi ya mtandaon basi twende kistyle na sio kirahis km hv😛hoto:..samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza zaidi nadhan upeo wangu ni huu na pia nitakuwa nimewajuza kwa wale wanaodhan mimi ni he.
 
hiiihihihhih

hebu wadada mukuje hapa... Ni kweli mnarusha ndoanozenu huko ulimwengu wa pm?
 
Ah!! Vaisley nawee..... Dah! will be back bana....
 
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu kwa wale wanaonipm na ninao wapm,wengi sana majf memba huwa wanafikiri mimi ni mwanaume.....kwahiyo basi inaonekana wadada sie wajf japo si wote tupo kitarget zaidi hasa ya kimapenzi.

Nimekuwa nikipata mesej nyingi sana mpaka hivi karibuni mpendwa dadangu mmoja baada ya kumwambia sorry mimi ni dada akawa mbishi sana kuamini nashukuru atlast akanambia "sorry i thought your a boy" i need a guy.....sasa ndugu zanguni tatizo ni nini?hata kama kuna mapenzi ya mtandaon basi twende kistyle na sio kirahis km hv😛hoto:..samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza zaidi nadhan upeo wangu ni huu na pia nitakuwa nimewajuza kwa wale wanaodhan mimi ni he.

ha ha ha ha ha ha kumbe ndo mpango wa PM hivo??
 
Nadhani labda ID angalau zingekuwa zozote lakini zizingatie jinsia,ili kuondoa mikanganyiko. Ni mtazamo tu!
 
Naona unajipigia promo..
Hongera, tumeshakufahamu wewe ni she na wala siyo he!!
 
Kwa hiyo unamaanisha unataka pm za wanaume sasa!
 
Mmmmm Sidhani kama wewe ni Mwanaume au inawezekana ukawa wa kiume! Wanaume wako bussy na mambo muhimu na tena wanaheshimu hisia za watu na kamwe hawawezi kuanika hisia za watu hadharani (huzitunza moyoni na kuzitafakari) kama ulivyofanya if at all what u are saying is true.
 
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu kwa wale wanaonipm na ninao wapm,wengi sana majf memba huwa wanafikiri mimi ni mwanaume.....kwahiyo basi inaonekana wadada sie wajf japo si wote tupo kitarget zaidi hasa ya kimapenzi.

Nimekuwa nikipata mesej nyingi sana mpaka hivi karibuni mpendwa dadangu mmoja baada ya kumwambia sorry mimi ni dada akawa mbishi sana kuamini nashukuru atlast akanambia "sorry i thought your a boy" i need a guy.....sasa ndugu zanguni tatizo ni nini?hata kama kuna mapenzi ya mtandaon basi twende kistyle na sio kirahis km hv😛hoto:..samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza zaidi nadhan upeo wangu ni huu na pia nitakuwa nimewajuza kwa wale wanaodhan mimi ni he.

Vaislay hapa una maanisha or upo kitarget zaidi? Hofu yangu ni kama vile unautoa ujumbe indirect. I mean "u need a guy"
 
habari zenu wanajf...nipo hapa leo kusema kinachonisibu na jf membaz wenzangu.....kwanza kabisa nashukuru sana kwa ushirikiano tulionao wana jf kwa siku zote hizi na pia nashukuru kwa Pm's zenu kwa wale wanaonipm na ninao wapm,wengi sana majf memba huwa wanafikiri mimi ni mwanaume.....kwahiyo basi inaonekana wadada sie wajf japo si wote tupo kitarget zaidi hasa ya kimapenzi.

Nimekuwa nikipata mesej nyingi sana mpaka hivi karibuni mpendwa dadangu mmoja baada ya kumwambia sorry mimi ni dada akawa mbishi sana kuamini nashukuru atlast akanambia "sorry i thought your a boy" i need a guy.....sasa ndugu zanguni tatizo ni nini?hata kama kuna mapenzi ya mtandaon basi twende kistyle na sio kirahis km hv😛hoto:..samahani kwa nitakao kuwa nimewakwaza zaidi nadhan upeo wangu ni huu na pia nitakuwa nimewajuza kwa wale wanaodhan mimi ni he.

Umefanya vzr kuliweka wazi, na pia akina kaka wenye ID zinazofanana na za akina dada ni vzr na nyie mjiweke wazi msije mkachumbiwa na wanaume wenzenu!
 
Back
Top Bottom