mungu ampe afya ndugu yetu Dennis Roberts ili aje kutimiza ndoto zake za kuwa raisi wa hii nchi kwa lengo la kuactivate ile project yake ya kudeal na black holes.
Hii ni tunu ya taifa kuanzia Leo hadi miaka 100 ijayo kwa maana ndio kijana pekee mwenye akili kwa kizazi hiki(huu ni uthibitisho kutoka kwake mwenyewe).
Anafaa kulindwa huyo kijana maana idea zake nyingi ni zile za kudumu kuanzia miaka 1000 hadi 2000.
Kisandu level nyingine, alikua anatoa machupa makali makali, kuna lile goma lake la "go away" ndani kuna hadi pilau 😄😄, sijui alikua anashirikiana na kina nani.