Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,101
- 1,952
Mmmmh umepotea njia na siri zako. Kwa nn unatoboa siri??
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani hivi ita kuwaje siku tukigundua kuwa mdada unayechat naye kwenye pm huku ukiamini fika kuwa ni mwanamke kumbe ni lidume lenzako??
Patachimbika, yaani uniingize mjini dume zima na midevu yangu?????
mkuu hapo umenena,naona watu wanamalizana na avatar kwa kudhani ndo uhalisia wa mtu mwisho wa siku kutakuwa na kukimbiana hapa
Inabidi tuandae siku moja "MMU-GET TOGETHER PARTY"! ndio tutajua ukweli wa mambo!!! :eyebrows:
Hivi unadhani kila mtu ni mwanaume rijali humu ndani???!! Angalia Mkuu utakuja ibuka na mashoga :roll:
Mombasa?!!!
Wangekufanya vibaya wewe huko
zamani kulikuwa na mtu anaitwa bwabwa akabadilisha jina akaanza kujiita boflo, yule jamaa lazima atakuwa na vijidudu vya waziri mkuu wa uingereza
Au siku ukijuwa kuwa Bujibuji ke na si me.
zamani kulikuwa na mtu anaitwa bwabwa akabadilisha jina akaanza kujiita boflo, yule jamaa lazima atakuwa na vijidudu vya waziri mkuu wa uingereza
Usihofu bi dada mie ni dume la mbegu. Nalog offhehehe nahisi nitazimia,au washawasha lol