JF kuna mambo... Kumbe ni Dume lenzako

JF kuna mambo... Kumbe ni Dume lenzako

mkuu hapo umenena,naona watu wanamalizana na avatar kwa kudhani ndo uhalisia wa mtu mwisho wa siku kutakuwa na kukimbiana hapa

Inabidi tuandae siku moja "MMU-GET TOGETHER PARTY"! ndio tutajua ukweli wa mambo!!! :eyebrows:
 
kwani wewe unachat na mmoja tu?
Yaan somo la spare tyre hujalijua? Pole
 
zamani kulikuwa na mtu anaitwa bwabwa akabadilisha jina akaanza kujiita boflo, yule jamaa lazima atakuwa na vijidudu vya waziri mkuu wa uingereza
 
zamani kulikuwa na mtu anaitwa bwabwa akabadilisha jina akaanza kujiita boflo, yule jamaa lazima atakuwa na vijidudu vya waziri mkuu wa uingereza

sasa hivi anajiita urojo wa ndimu
 
Je wanawake hadanganyani humu kumbe anadhani anachati na dume kube lishangingi!!
 
Back
Top Bottom