KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani hivi ita kuwaje siku tukigundua kuwa mdada unayechat naye kwenye pm huku ukiamini fika kuwa ni mwanamke kumbe ni lidume lenzako??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaweza kuamini pm au keyboard? Kuna keyboard ya kike au kiume? Watu kwa kupenda avatar ni noma.Unamheshimu kwakukuingiza mjini bila wewe kujua!
Jamani Bigie..nianze kuangalia hizi PM kwa macho matatu?Naanza kwa kuitilia yako mashaka!Hivi unaweza kuamini pm au keyboard? Kuna keyboard ya kike au kiume? Watu kwa kupenda avatar ni noma.
Pamoja na kuongea nae bado hukujua sio mwanamke!?Job true true!Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
Patachimbika, yaani uniingize mjini dume zima na midevu yangu?????
Sisi ambao tuna pupa na uroho wa wadada wa humu ndani hivi ita kuwaje siku tukigundua kuwa mdada unayechat naye kwenye pm huku ukiamini fika kuwa ni mwanamke kumbe ni lidume lenzako??
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
Kuna binti alikuwa akinieleza kuwa yuko Mombasa, kumbe ni shoga bwana, nilifunga safari hadi huko baada ya maongezi kunoga hapa JF na kwenye simu.
Pamoja na kuongea nae bado hukujua sio mwanamke!?Job true true!
Hivi unaweza kuamini pm au keyboard? Kuna keyboard ya kike au kiume? Watu kwa kupenda avatar ni noma.
Mwenzio mpaka sauti kadanganywa!si ndio hapo chacha,
mi nadhani mwanamke utamgundua tu,
kuna vitu fulani lazima atateleza tu, na
itajionyesha live!!!!!!!!!
Jamani Bigie..nianze kuangalia hizi PM kwa macho matatu?Naanza kwa kuitilia yako mashaka!
Mzima wa afya!Nijuze na wewe hali yako?lizzy hujambo mama?
Mzima wa afya!Nijuze na wewe hali yako?