JF kurudi mapema kabla ya birthday yangu

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea kuanzia leo jamani.
 
Sisi wa mwezi wa saba tunaraha sana jf kurudi mapema vipi zawadi tunakupaje sasa
 
Hahaha,jitahid kabla ya tar 5 zawadi iwe imekufikia,halafu hizo lips kwenye avatar mbna kama nazijua??
Haiwezekani uwe unazijua. Taja herufi ya kwanza ya mwenye hizo lips kwanza. Hata leo ntakupa adress
 
Sisi wa mwezi wa saba tunaraha sana jf kurudi mapema vipi zawadi tunakupaje sasa
Yani burudani tupu kwetu. Zawadi kama ya hela namba ya wakala ipo. Kama ya kawaida nakupa adress.
 
Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea kuanzia leo jamani.

Pinot Noir, Merlot & Malbec, or Cabernet Sauvignon?

Choose one, please.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…