Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha,jitahid kabla ya tar 5 zawadi iwe imekufikia,halafu hizo lips kwenye avatar mbna kama nazijua??Ntawapa adress ya kupeleka zawadi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Aya sawaYani burudani tupu kwetu. Zawadi kama ya hela namba ya wakala ipo. Kama ya kawaida nakupa adress.
Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea kuanzia leo jamani.