JF kurudi mapema kabla ya birthday yangu

JF kurudi mapema kabla ya birthday yangu

Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea kuanzia leo jamani.
Mi nitatuma Zawadi ya Pichu vipi unavaaga bikini au zile za jamii ya Nandy.?
 
Wooooooooozeeeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi nataka cake [emoji52][emoji52]
 
Back
Top Bottom