JF Ladies: Is this what you think?

JF Ladies: Is this what you think?

hahahaaaaaa, sausage....................................
 
.........
attachment.php

lol! Weye Boflo acha hizo hahahahah...ukiwekewa sausage kwenye kisahani bila kumuona ng'ombe mwenyewe sijui kama utaitamani hata kuigusa :behindsofa:
 
lol! Weye Boflo acha hizo hahahahah...ukiwekewa sausage kwenye kisahani bila kumuona ng'ombe mwenyewe sijui kama utaitamani hata kuigusa



  • :spy::spy::spy::spy:

 
  • Thanks
Reactions: BAK
hata mama rwakatare anasemaga hii why keeping a cow while getting full milk, heheee cjui alikuwa anamaanisha hivi au...

inawezekana, kwani ni moja ya wachunga mishahara walioshindwa kutunza ndoa zao. Sijui wanaosali kwake wana akili sawa sawa?
 
Hautuliziki ila kwa maombi! Oops! Nilikuwa tu nafikiria kwa sauti jibu la NATA

Hujakosea, huyu anahitaji Kakobe na Mama Lwakatale wapatane waamue kukemea peop alilonalo
 
ah, boflo tena! hahahahahahahah!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi kweli what we offer is only 'a little' sausage eenh? so ukijifanya una'care' unajipendekeza tu watu wanataka ki'soseji'! Good to know...

Just kidding Doc... this applies to those men who think that all women are just cows to milk.
 
Hapa nimetoka kapa yaani hakuna sijaelewa chochote duh, ila ngoja nicheke nami coz wote mmefurahi na wengine kushangaa!

Boflo..hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tehe tehe, kwikwikwi...!
 
Back
Top Bottom