Ishu ya condoms
sio watu hawapendi kutumia
ishu ni kuwa baada ya pombe watu husahau
huku condoms zipo mifukoni mwao.....
Ishu ni pombe
Ishu ya condoms
sio watu hawapendi kutumia
ishu ni kuwa baada ya pombe watu husahau
huku condoms zipo mifukoni mwao.....
Ishu ni pombe
Watu wanakuwa nazo kwenye wallet lakini zinashindikana kutoka sembuse kwenye begi!!!Kuvaa kondomu ni wito na wala siyo kipaji!!
Mimi kama mwanaume,mambo mengine kama mtu unajua thamani yako na ya mkeo,pamoja na utu wako na namna unavyomjua Mungu huwezi kufanya ujinga huo,huyo mkeo atakuwa na thamani gani kwako?Umemuoa wa nini?Na pia utakua na tofauti gani na mbuzi?
Wallaaaah ntakua namfungia box kibao afu naziwekea alama pakti zote, ole wake atumie na ole wake asitumie ndo atajibu sasa.:hatari:
DUH:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::rip::rip::rip:
Whaaaaaaaat? what did you say? just say it again!kitafunio cha chai ni mkate,andaz ,chapati and other type of bite's WHILE KITAFUNIO cha bia ni mwanamke..
Wallaaaah ntakua namfungia box kibao afu naziwekea alama pakti zote, ole wake atumie na ole wake asitumie ndo atajibu sasa.:hatari:
hahahahaha! Usinichekeshe. Kwahiyo atumie tabu asipotumia nayo tabu.
Hiiee! Umekosea jukwaa huku sio kwamaasikari...!
hahahahaha! Usinichekeshe. Kwahiyo atumie tabu asipotumia nayo tabu.
Nadhani ili azitumie ili bila kusababisha madhara bora azivae machoni ajikinge na tamaa kwa wanawake atakaowaona alafu itamsaidia kupunguza ajali.
We acha tu, watu wanasema tu, hebu kuta hata kibox kimoja afu ufungue ndani ukute katumia pact moja mbili zimebaki kama utalala hee hee hee, ndo unalianzisha la kuchitiwa hapohapo. Duh bora tu ajinunulie mwenyewe, kama kakaangu sawa naweza muwekea kama tunakaanae lakini mpezi ntakua namuimbia kila siku wimbo wa kujilinda na kujichunga hata kama amelewa vipi awe mwangalifu tu.