JF ladies mnaweza?

JF ladies mnaweza?

that's a NOOOOOO way thing siwezi muacha mme wangu aende huko alaf kama nitakuwa ni mempa inspiration by giving him condoms. its a big noooooooooooooooooo
 
Hiyo ni kali, kweli nimeamini wanadamu wote hatufanani maana mi suwezi kufanya hivyo maana sitakuwa na amani uku nyumbani.
Ila akiondoka bila 'zana' utakuwa na amani!!
 
Back
Top Bottom