Kule chat room naitwa kisura....
Nimeweza kuingia ila haijanivutia kiasi cha kusema natamani kuingia tena!!!
Kusema ukweli iko kawaida sana....can't you guys pendezesha it kidogo??:twitch:
Alafu swala la kila ukitaka kuingia lazima ulog-in nalo linaboa flani hivi!!Bila
kusahau kwamba mtu anaweza kuingia kwa jina lolote!!
Nwyz hayo ni mawazo yangu tu....mnaofurahia na mzidi kufurahi!!!!!
In fact sio lazima u-log in ili uchat....any guest can chat.....Lizzy mi nadhani TUGOME hadi irudi ile ya mwanzoni, that was very personal au unaonaje? mi ningependa nikiingia kule nikukute Lizzy kama wewe but the fact kwamba mtu anaweza kuplay around na jina lolote, inaondoa ile personalised way ya kuchat hata kama kuna PM but how far am I sure kwamba huyu ndo Lizzy wa JF?
TUGOME.
Lizzy mi nadhani TUGOME hadi irudi ile ya mwanzoni, that was very personal au unaonaje? mi ningependa nikiingia kule nikukute Lizzy kama wewe but the fact kwamba mtu anaweza kuplay around na jina lolote, inaondoa ile personalised way ya kuchat hata kama kuna PM but how far am I sure kwamba huyu ndo Lizzy wa JF?
TUGOME.
In fact sio lazima u-log in ili uchat....any guest can chat.....