JF live Chat is up now!

JF live Chat is up now!

Ewaaaa;
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

Asprin (Today)​

Babu amegoma kuchati mpaka masharti na vigezo vikaguliwe upya.

Naunga hoja maana hivi vitu viwili inabidi viangaliwe upya BAN na SURVEILLANCE
 
Ewaaaa;
The Following User Says Thank You to The Finest For This Useful Post:

Asprin (Today)​

Babu amegoma kuchati mpaka masharti na vigezo vikaguliwe upya.
Babu katika kumbukumbu zangu ulisema huna mjukuu wa kiume sio?
 
wajemeni mbona inapatikana,sema inachukua muda(kama dakika mbili) kufunguka...
mie nimeipenda sababu majina unaweza tumia lolote,sio kama ya zamani ambapo ulikuwa huwezi kufanya hivyo hivyo kuhofia michango yako kny thread ndio itakayokupa au kukosesha marafiki wa kuchat nao....
tuliokuwa jana usiku tulienjoy kwa kweli,inabidi max afanye njia wenye kutumia simu nao waweze kuchat ndio tupate watu wengi...
 
Mhhh mi nimeshindwa kuconnect!!!!!!
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeelp!!:A S 20:
 
wajemeni mbona inapatikana,sema inachukua muda(kama dakika mbili) kufunguka...
mie nimeipenda sababu majina unaweza tumia lolote,sio kama ya zamani ambapo ulikuwa huwezi kufanya hivyo hivyo kuhofia michango yako kny thread ndio itakayokupa au kukosesha marafiki wa kuchat nao....
tuliokuwa jana usiku tulienjoy kwa kweli,inabidi max afanye njia wenye kutumia simu nao waweze kuchat ndio tupate watu wengi...

Rosey naomba kuchat na wewe......
 
Hakikisha device yako inayo JAVA Runtime. iwapo haipo just idownload then install kisha restart your browser utaweza kuingia CHAT.
 
Back
Top Bottom