JF live Chat is up now!

JF live Chat is up now!

Hebu niambie hatua inayofata baada ya hapa......
attachment.php
Mbona hapo unaanza moja kwa moja kuchat ila ina depend kama mtu yuko online na pia kama umeisha register nick name yako, mfano hao walio pembeni wenye majina ya kidawa, ney, CRAP unaweza chagua mmoja ukaanza kuchat naye
 
09:01] Connecting...
[09:01] Unable to connect : java.net.ConnectException : Connection timed out: connect
[09:03] Not on a channel
[09:03] Connecting...
[09:03] Unable to connect : java.net.ConnectException : Connection timed out: connect

Hiki ndo nini???
 
Nimeiona lakini hii habari ya kuwa unaweza kutumia jina lolote haijanikalia sawa. Wanafunzi wangu wanaweza kudanganywa, mtu akaijiita Gaijin kisha akaniharibia wanafunzi.

Hapo mkuu naona pafanyiwe marekebisho fasta.

Ahsante mwalimu wangu. Shkamoo mwalimu wangu.

Hachati mtu kwa nikinemu hapa.....

Teamo hachelewi kujiita DaMie, nikajikuta natongoza dume jenzangu bila kujua....lol
 
Mwalimu hata mimi naunga mkono hoja maana mtu anaweza kuingia kule kwa nick name ya jina la mtu hapa JF watu wakadhani ndiyo yeye kumbe siye hiyo itakuwa haijakaa vizuri
 
Wanaweza wakareserve ID za watu....
 
Ahsante mwalimu wangu. Shkamoo mwalimu wangu.

Hachati mtu kwa nikinemu hapa.....

Teamo hachelewi kujiita DaMie, nikajikuta natongoza dume jenzangu bila kujua....lol
kama cha darchat au cio?
 
Marhaba @the finest (Imenibidi hadi konekisheni itakapokubali hii ndio chatrum)
 
Wanaweza wakareserve ID za watu....
Mimi nafikiri ingekuwa jambo la busara wakaacha watu wakatumia ID zile zile kuliko kutumia nick names zingine trust me as we go on lazima kuna watu watatumia ID za wenzao kama nick names, labda kama watareserve ID
 
Kwa mfano wewe ukijiita st. rr basi badala ya crap unapewa ban automatiki....
 
Umeona eeeee.

Natangaza rasmi kwa yoyote atakaemuona Gaijin huko kwa namna chat ilivyo sasa sio mie. heheh 🙂)

Ahsante mwalimu wangu. Shkamoo mwalimu wangu.

Hachati mtu kwa nikinemu hapa.....

Teamo hachelewi kujiita DaMie, nikajikuta natongoza dume jenzangu bila kujua....lol
 
Kwa mfano wewe ukijiita st. rr basi badala ya crap unapewa ban automatiki....
Umeona ehee badala ya kujiita crapiest ukajiita The Finest tena ukaweka na CAPS lazima uchezee ban
 
Back
Top Bottom