JF live Chat is up now!

JF live Chat is up now!

Wao!!! Shukurani zaidi mkuu!!
 
Afadhali mkuu kuna watu waligeuza threads za watu chatroom bubu na kuharibu mwelekeo.
 
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: Nimeikubali mpaka chemba ipo duh
 
Thanx boss wangu! Afadhali masomo yetu na mwalimu kwa njia ya posta yamerudi!
 
hahah Kimey ....unan'dai
Mwalimu nakusalimu! Nisipo faulu mwaka huu naenda badili ubongo..
Hapa bado twamuomba Mkuu Maxence afanye mambo hata wa "posted via mobile" waweze chat ati.
 
Duh! Lazima viwango vya elimu vipande mwaka huu.

Zamani kulikuwa na elimu ya watu wazima kwa njia ya redio, sasa kuna kwa njia ya simu kupitia mtandao 🙂)
 
Beautiful...Kwa tuliokuwa tunachat kupitia threads sasa tumepewa privacy zaidi!..ha ha haaa!
 
Aisee mwalimu wangu Gaijin keshajua?

Naomba mumwambieni mkimwona. Hatimaye kilio chetu kimesikilizwa kabla hatujaandamana kama Cairo.

Maxence chagua mjukuu wangu mmoja umpendaye nikukabidhi:clap2::clap2::clap2:
 
Back
Top Bottom