queenkasanda
Member
- May 28, 2014
- 27
- 4
- Thread starter
- #21
ntakufundisha kunywa naniliu na kufanya masagi
mhhhhhhh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntakufundisha kunywa naniliu na kufanya masagi
mix waonekana ni mkarimu eeeeh
Mhhh we sio mzoefu kweli..enewei karibu
Karibu...
hapana mi mtz pure nyamwezi by tribe
Enikweli tumefundishwa kua wakarimu
Mi ndo chairman wa wanyamwezi humu Karibu
ahsante id yako simu yangu lol
Umestukia eeh?
Anyway, mgeni kisoda. Karibu.
Ila na wewe una IDs ngapi humu?
Ntashukuru zaidi queenkasanda ila kaa mbali na Asprin
asprin dawa ni jina la mtu humu??,
mhhhhhh nyani una vituko afadhali wangekuchua wewe watuachie tembo wetu
Nipe na no yako basi ili uwe umekamilisha kila kitu
Huyu mgeni ana agenda lolYaani we mgeni halafu unajua kuwa mi nna vituko?
Mgeni mwenyeji wewe.....
Yaani we mgeni halafu unajua kuwa mi nna vituko?
Mgeni mwenyeji wewe.....
Huyu mgeni ana agenda lol
karibu sana MMU...
huku ni stress free zone, ni kula bata batani.
mhhhhh safari moja huanzisha nyingine