Che Kalizozele
JF-Expert Member
- Jul 20, 2008
- 777
- 50
Masanio; ulikuwa una-attach file kubwa sana; over 20MB. Napunguza ukubwa wa file hilo kisha nakutumia kwenye email yako.
Wakuu; tuwieni radhi kwa usumbufu uliojitokeza. Ni bora utokee mara moja kisha usababishe ufanisi zaidi. Naamini mtaona performance zaidi.
Meanwhile, kama tulivyosema awali, bado tunapokea maoni yenu juu ya nini kiboreshwe JF. Kuna features mpya zinakuja; members (registered) wataweza kuwa wana-chat mmoja kwa mwingine (kama ilivyo kwenye facebook), bado tunalifanyia kazi. Tunatarajia kuzindua interface mpya ya JF mnamo March Mosi.
Aidha; mwonekano mpya wa JF utaweza kuwarahisishia wengi (hasa waliojisajili) kuweza kupata options za kufanya mengi. Blogs zitawekwa, kwa wale waliokuwa wanatumia blogspot tunaweza kuwasaidia kuhamisha blogs zao kuja kwetu, tunatengeneza daraja (bridge) la kuvusha blogs zao.
Kutokana na kazi tuliyokuwa tunafanya ndio maana kuna downtime inatokea; hii haitachukua zaidi ya wiki mbili, tupo kwenye hatua za mwishomwisho.
Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na ushirikiano wenu
Ndio maana kuna kipindi mara ka JF sikapati,mara kamerudi,nikahisi labda kale kajidudu kanakosababisha maradhi ya kisasa kametembelea pc yangu,anyway till now iam doing great.Kazi njema.