JF Maintenance: Feb 2010

....Yes mzee, kilinganisha na jana.....mambo ni fasta sana......! mi nilifikiri ni kwa sababu mida hii kuna member wachache wanaperuse hapa!
Issue hapa si wadau walio online...

Naomba niwafahamishe kuwa mtu akikaa JF na akaondoka ndani ya dakika 30 basi atakuta yuko logged out. Tumepunguza muda wa wanaokaa idle.

Tunaamini mtu akishakaa dakika 30 bila kufanya kitu basi atakuwa kishaondoka tu.
 

asante mkuu kwa kunifumbua akili kwa hilo maana nimeliona nikadhani kimashine kimeanza kukataa kazi
 
asante mkuu kwa kunifumbua akili kwa hilo maana nimeliona nikadhani kimashine kimeanza kukataa kazi
Increased to 1hr maana watanzania najua wanajisahau sana. Please make sure watu mnakuwa hamwachi pc zenu ziko hewani tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…