- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
- Thread starter
- #61
Speed ya JF imeongezeka?Tunashukuru kwa hilo wakuu.......!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speed ya JF imeongezeka?Tunashukuru kwa hilo wakuu.......!
Speed ya JF imeongezeka?
Issue hapa si wadau walio online.......Yes mzee, kilinganisha na jana.....mambo ni fasta sana......! mi nilifikiri ni kwa sababu mida hii kuna member wachache wanaperuse hapa!
Issue hapa si wadau walio online...
Naomba niwafahamishe kuwa mtu akikaa JF na akaondoka ndani ya dakika 30 basi atakuta yuko logged out. Tumepunguza muda wa wanaokaa idle.
Tunaamini mtu akishakaa dakika 30 bila kufanya kitu basi atakuwa kishaondoka tu.
Increased to 1hr maana watanzania najua wanajisahau sana. Please make sure watu mnakuwa hamwachi pc zenu ziko hewani tuuuuasante mkuu kwa kunifumbua akili kwa hilo maana nimeliona nikadhani kimashine kimeanza kukataa kazi
Increased to 1hr maana watanzania najua wanajisahau sana. Please make sure watu mnakuwa hamwachi pc zenu ziko hewani tuuuu
Thank you sir for smooth operation achieved, although myself I noticed nothing at all that time.Leo ndo tumemalizia wakuu...
Tunaomba SANA radhi kwa usumbufu uliojitokeza!