Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
-
- #21
Unaweza upo kazini but jf ukawa upo pia at the same timeWe shida yako ulitaka ujue.watu wana fanya kazi saa ngapi wakati mchana kutwa yupo jf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ndo umjibu mleta mada,Unaweza upo kazini but jf ukawa upo pia at the same time
Asali, mdalasini na karanga bila shaka unaboost nguvu zetu pendwaWakuu,
Wengi tupo tunakua na mahangaiko ya kusaka pesa wakati huu wa mchana.
Mimi mida kama hii nakua nimetoka lunch, napata kahawa na kashata au chai ya asali na mdalasini huku nikitafunia na karanga then narudi kazini kuendelea na harakati za kudeal na clients wangu.
Wakati huu wa mchana wewe upo wapi, unafanya nini..?
Hapana.. Mimi sijui km inafanya kazi hiyo ila ni kitu nikipendacho since nikiwa chaliiAsali, mdalasini na karanga bila shaka unaboost nguvu zetu pendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baby Ruby ach uchochezAmekuuliza swali lakini....
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Basi utakuwa na nguvu nyingi kama john cenaHapana.. Mimi sijui km inafanya kazi hiyo ila ni kitu nikipendacho since nikiwa chalii
[emoji3][emoji3][emoji3] kawaida tu mkuu, gol mbili tu chali
Aisee Unategemea nyumba za urithi. Tafuta zakooMimi niko JF, Mchana kutwa nahesabu siku thelasini zifike nikachukue kodi kwenye nyumba za urithi maisha madogo madogo yaendelee! 🙄
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lazima uvute bangi km ni wa kijiweniMda wangu mwngi huwa nipo kijiweni napata akili za kistreet...
Huku njoro nn dzaini
Misivuti chariI..!!..[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lazima uvute bangi km ni wa kijiweni
Wanaokaa kijiweni huvuta bangi maana hawana cha kuwa keep busyMisivuti chariI..!!..
Boy niaje...unafos unforced things!!..,,Wanaokaa kijiweni huvuta bangi maana hawana cha kuwa keep busy
Ni dhahiri unavuta. Maana unamimina povu tuBoy niaje...unafos unforced things!!..,,
Kukaa kijiweni kwenyewe ni ubze tyr..and ilov this life boy!!..
LunchWakuu,
Wengi tupo tunakua na mahangaiko ya kusaka pesa wakati huu wa mchana.
Mimi mida kama hii nakua nimetoka lunch, napata kahawa na kashata au chai ya asali na mdalasini huku nikitafunia na karanga then narudi kazini kuendelea na harakati za kudeal na clients wangu.
Wakati huu wa mchana wewe upo wapi, unafanya nini..?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Lunch
Kahawa
Kashata
Karanga
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Leo kwavile j2 unakesha humu...