JF MEMBER ANAYEVAA VIZURI KULIKO WOTE 2017

JF MEMBER ANAYEVAA VIZURI KULIKO WOTE 2017

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau
Naomba niwe Judge wa muda kwenye suala la mavazi kwa JF members wote kwa mwaka 2017.Ukweli JF members wote wapo vizuri sana kimavazi, hongereni sana!
However of particular interest to to us all is one and only one JF Expert Member

*MAMDENYI*

GOOD NIGHT ALL
God bless you
 
Haya tumejua umeshaonana nae
Siku nyingine kumbuka kuishukuru PM ya JF.

Ukiendelea kuona wengine wakawa wamempita uvaaji njoo utuambie pia.. usione aibu tukijua unapitia wengi humu ili nao waje watuambie kama unavaa katani au migomba..eeeeh
 
Duh! Umeigeuza JF kama Uswahilini kabisaaa!!!!

Wewe umeona wangapi mkuu?
 
Huyo mamdenyi. Wewe umemuona wapi?
mbona hii ni miujiza.?
 
Back
Top Bottom