JF member atakayetuwakilisha BIG BRAZA

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
...kutokana na manjonjo...utashi...utani na namna ya kuishi na watu/jamii...unafikiri nani humu JF anaweza kuwa mshiriki bora wa Big Braza?...Na akatuletea ushindi?

na aambatane na nani?kama ilivo kwa mwaka huu:unakwenda na mtu unaempenda...baba...mama...mke...mume...mchumba...nk.
 
kaka hana neno bana...ataona kwenye TV tu yanayoendelea kule.

BAGAH, jioni upite nyumbani tutaongea kwa kirefu manake hili lipo kifamilia zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Naona wote mnatupiana mpira...sijui mnaogopa nini...sasa ntaenda peke yangu...!!!
 
nitapita sweetlady...ila ntakuamsha nikija maana ule ufunguo wa ziada ulionipa niliuacha kwenye bajaji...
Uache pombe BAGAH manake ukishalewa unaacha vitu hovyo, mwezi uliopita uliacha simu leo tena funguo. Jaribu kufikiri shemeji angu kipenzi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…