JF member mliopo Kampala

JF member mliopo Kampala

Sasa nipe Generally situation ya kibiasahara huko kama ntakuja na mtaji wa million I sita tsh
Mtaji 6mTzs!? Huo mtaji kama Upo Dar, jaribu kudalalia fuso la ndizi Toka Mbeya ama Kilimanjaro.
 
Sasa nipe Generally situation ya kibiasahara huko kama ntakuja na mtaji wa million I sita tsh
Pamoja na kupata ABCs muhimu kupoteza senti kadhaa ukapate uhalisia wa huko maana mtz zaidi utaona anakwambia mitaa ya mji etc tofauti na wenzetu Nigerians
 
Back
Top Bottom