JF members ambao michango yao inayopendwa zaidi, na wanaoongoza kwa kupost JF

JF members ambao michango yao inayopendwa zaidi, na wanaoongoza kwa kupost JF

Nimefurahi sana kwenye list ya wachangiaji bora yumo na kipenzi cha moyo wangu Evelyn salt
 
Wapi chief mkwawa wa wahehe.. . michango yake huwa le super michangoz u know, hahaa..
 
Kumbe hizi mambo za wingi wa likes vijana huwa wanazipa uzito wa hali ya juu sana.....!!!??
Maana naona vijana wanavyoparuana kwa kutoonekana kwenye hizo list....!!!
 
!
!
Mimi jeh.... Hii post ingezingatia muda wa mtu kuwa member... Yaani ingekuwa average ya likes kwa siku, au average ya comment kwa siku. Sasa lijitu liko humu tangu tisini na nane.. Umshindanishe na mimi ambaye niko humu tangu may be 2005 kwelii???
 
Back
Top Bottom