Habarini Wanajamvi.
Kuna members wenzetu ambao wamepotea kwa kipindi kirefu hawajaonekana kwenye jamvi.
Kupotea huko kunafanya tu-miss hekima zao,ucheshi wao, vituko vyao na hata karaha zao.
Sasa tuwataje members hao ambao wameadimika haswa humu Jamvini.