JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

JF Members ambao wameadimika kwa muda mrefu

Mikataba fake,Sijui kitu,.....Baba Enock,.....
 
Habarini Wanajamvi.

Kuna members wenzetu ambao wamepotea kwa kipindi kirefu hawajaonekana kwenye jamvi.

Kupotea huko kunafanya tu-miss hekima zao,ucheshi wao, vituko vyao na hata karaha zao.

Sasa tuwataje members hao ambao wameadimika haswa humu Jamvini.

Mh mh mh....!!!! Waheshimiwa nipo nilikuwa kwenye kampeni za kugombea udiwani lakini kura hazikutosha
 
Kichuguu uyu member wa enzi izo namkubali sana
 
Last edited by a moderator:
Mi bishanga tu sijui kakimbilia wapi yangu afumaniwe kapotea
 
Back
Top Bottom